Lyrics

Rhino Ft Mr blue – Sibanduki Lyrics

Rhino Ft Mr blue - Sibanduki Lyrics

Rhino Ft Mr blue – Sibanduki Lyrics

Rhino Ft Mr blue – Sibanduki Lyrics Bonge la toto, nyuma kokoto za ki baikoko, hile bokoboko, ana mwendo wa midaddy nishamuekea guard lakini underbody mambo yake maridadi, Benati tipotapo ananipa double double ntafungasha kirago nampeleka Chikago mambo mwakemwake kwa hilo penzi lake. akizungusha body body yani nalipa kodi kodi akienda akirudi rudi yananipanda midadi daddy.

chorus
Vitu vyake si kitoto ananipa changamoto (Sibanduki kwake) X 4

verse II
Ameniweka ndani nje stoki staki raha za chumani nje spati staki stoki kitandani ujuzi umehutoa wapi? umenipa dawa gani wewowani kweli skwachi. sibanduki kwake sijaona mfano wake, wenye chuki kwake, mmeona tunda lake? mmeona raha ya mume akiwa na mke akiwa na wakwe? mnamuona mwanamume anajituma ili asiachwe? (penzi lake si kitoto limenishika, asubui changamoto jogoo akiwika) X 2

chorus
[Vitu vyake si kitoto, ananipa changamoto (sibanduki kwake)X4] X2

About the author

ghanaclassic

Leave a Comment