Lyrics

Eric Omondi – DERE Lyrics

Eric Omondi - DERE Lyrics

Eric Omondi – DERE Lyrics

Eric Omondi – DERE Lyrics Ayolizer
Haha it’s Erico

Ooh tunapend kooni
Nikikupea mpaka morning
Nikikutekenya tekenya
Nikichoma elewa

Nikikuchum mdomoni
Touch touch kiunoni
Ntakutekenye tekenya
Nitakufanya ulewe

Oooh usifanye makosa
Nikiringa contemplate on them
And baby better ride for me
And show them that you are mine
Yeah yeah yeah

Imma go downtown for yah
Boy you can put your coat on me
Baby put your coat on me
Unanichizisha

Aga asa show me ile kitu ninatazama
Hebu chutama, nataka zama
Nikupige chenga ka danadana
Na tupige kelele

Hio ni  usiku mchana
Jua likizama, tuanza kandanda
Nikuonyeshe vile utazama zama
Tupige kengele

Maana wanaona

Wanaona dere
Wanaona dere(Wanaona)
Wanaona dere
Wanaona De! De! De! De!

Wanaona dere
Wanaona dere(Wanaona)
Wanaona dere
Wanaona De! De! De! De!

Sasa beiby nisongeshe

Kati, katika (Kata)
Kati, kati, katika (Kata)
Gloria katika (Kata)
Oooh beiby katika (Kata)

When you hold on to me (Kata)
When you fall on your knees (Kata)
Wanitesa beiby (Kata)
Tucheze kati (Kata)

About the author

ghanaclassic

Leave a Comment